Hakuna login za pamoja. Fungua duka lako binafsi na ujaribu kila kitu bure kwa siku 7.
Uza kwa mibofyo michache, chapisha risiti, kata hisa moja kwa moja.
Stoki ya wakati halisi kila tawi
Chati za mauzo, faida na bidhaa bora — zinazochapishika.
Kila duka database yake; super admin anasimamia yote.
Ongeza wafanyakazi wenye ruhusa sahihi na fuatilia nani alifanya nini.
Endelea kuuza bila mtandao - kila kitu husawazishwa ukirudi.